Mwanamke wa kuzaa naye

Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
wawe twins tafadhali,niko tayari.
 
<br />
<br /
Nenda ka adopt ulee,unafikiri kuna mwanamke wa kuzaa tu na kuacha akaolewe kwengine! Mwanamke sio mtambo wa kufyatulia watoto,umama una thamani kubwa sana! Halafu eti unachagua wanaume watupu!
 
Mmmh! Hao watoto mtawapa shida tu, na huyo mwanamke mwenzangu mwenye huo moyo kwakweli hongera zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…