Mwanamke wa kuzaa naye

wolfman Jr

New Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3
Reaction score
2
Habari wana jamvi wenzangu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya.

Naomba niende kwenye maada;
Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto bila ya kuwa kwenye ndoa (mahusiano ya kawaida tu).
Sipo tayari kuingia kwenye ndoa kwa mda huu labda baada ya miaka mitano au sita huko mbele. Umri wangu ni miaka 31, mjasiriamali.

Awe mwanamke aliekomaa kiakili
Umri kuanzia miaka 25 mpaka 34
Dini yoyote
Asiwe mweusi sanaaa
Mawasiliano ni kingkiki1193@gmail.com
Pia unaweza ukani Dm
 
Wanawake fursa hiyo

Lkn hakikishen kama ni mradi au biashara ya uhakika umefunguliwa kwanza, ndo ukubal kutoa Papuchi kwaajili ya kuzaa mtoto/watoto.
 
Halafu akizaa nawewe nani atamuoa? Wakati siku single mother wanavyo nangwa? Wewe subilia wakati ukifika uoe basi. Lakini nisiwasemee moyo watakuja bahasha wabeba barua
 
Hahahaha ngoja nitatoa langu lakutafuta toleo lakwanza ,ila hakikisha unaweusi kama tairi la gari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28] ndy mkuu na yeye hataki mweusi Sanaa

Nasubir tangazo lingine nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ