Mwanamke wa kwanza kunyongwa duniani

Mwanamke wa kwanza kunyongwa duniani

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
393
Reaction score
470
Mwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa marekani kipindi hicho bwana abraham lincoln..........
24195bfe98d7f6ad5ea9f3f25d7033d3.jpg
 
Lkn mbona nilisoma somwhere wauwaji wa ABRAHAM LINCOLN na JFK wote walikuwa ni WANAUME na waliuwawa KABLA ya hukumu!! sielewii!!
mchiz muongo walioua hao jamaa wotee walikua wanaumee
 
Kuna walionyongwa kabla yake, sema huyo alikuwa wa kwanza kujulikana hadharani....
 
Na wewe inakuingia akilini huyu awe ndo mwanamke wa kwanza kunyongwa duniani?,tena mwaka 1865,unajua hukumu ya kunyongwa worldwide imeanza lini?
Ni ule upuuzi wa wazungu kama vile wanavyosema wao ndio wa kwanza kugundua ziwa victoria au mlima Kilimanjaro!!
 
Ungesema;mwanamke wa kwanza kuhukumiwa kunyongwa Marekani, ujue kabla ya utadawazi tawala nyingi duniani za kienyeji na zakidola, zilikuwa zikitekeleza Hukumu ya kunyonga wanawake
 
Ila hukumu inayojulikana ya kwanza ndiyo hiyo na si kweli kwamba wauaji wa lincoln walikua n wanaume hapana mmoja wao alikua n mwanamke na ndo huyo wanaume alioshirikiana nao ni johnson wilkes booth ambae ndie alie m shoot raisi pia alikuwepo heward ..mary surrat alihukumiwa kwa sababu nyumba yake ndo ilikua kitovu cha mikutano ya siri iliyopelekea kuuawa kwa lincoln
 
Mwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa marekani kipindi hicho bwana abraham lincoln..........
24195bfe98d7f6ad5ea9f3f25d7033d3.jpg
Masahihisho...mwanamke wa kwanza kunyongwa Marekani
 
Back
Top Bottom