Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 470
mchiz muongo walioua hao jamaa wotee walikua wanaumeeLkn mbona nilisoma somwhere wauwaji wa ABRAHAM LINCOLN na JFK wote walikuwa ni WANAUME na waliuwawa KABLA ya hukumu!! sielewii!!
Ni ule upuuzi wa wazungu kama vile wanavyosema wao ndio wa kwanza kugundua ziwa victoria au mlima Kilimanjaro!!Na wewe inakuingia akilini huyu awe ndo mwanamke wa kwanza kunyongwa duniani?,tena mwaka 1865,unajua hukumu ya kunyongwa worldwide imeanza lini?
Masahihisho...mwanamke wa kwanza kunyongwa MarekaniMwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa marekani kipindi hicho bwana abraham lincoln..........