Mwanamke wa kwanza mtanzania mwenye kumiliki Hoteli 5 za Kitalii

Shule za Upareni mtu akifaulu sana div 3..... Wapare wamelogwa na Mchaw! wao aitwaye Msekwa huyo ana jicho moja na usiku linawaka kama taa ni Mbwange

Ulivyosema mchawi mwenye jicho moja nikakimbilia kwa handullah kichwa wazi...
 
Hongera sana Zainab...your action is itself a good story to tell. Sisi wengine tuendelee kulalamika tu
 
Huyu mama ameolewa na mswidish kitu ninachomsifu ameweza kumbana huyo mzungu mpaka wakainvest Tanzania kiukweli amefanya kitu kizuri.Changamoto kwa wamama wengine mnaopata wazungu wenyeuwezo mkumbuke kuinvest nchini mwenu.
Wabongo bana, eti "kumbana"....such a low comment! Palipo opportunity ndiyo pa kutia pesa, uking'ang'ana eti kuwekeza nyumbani kwa sababu tu ni nyumbani itakula kwako.
 
safi sana Zainabu! nakumbuka shule ya msingi niliyosoma ya Nelson Mandela ipo karibu na hotel yake, shuleni walikua wanakuja watalii mbalimbali kucheza na wanafunzi, kwa sababu ilikua ni shule ya msingi ya st. Kayumba, ilikua ngumu kuelewana na wazungu, tulikua tunapewa vitabu vikubwa vya kingereza ambacho lazima ujifunze kusoma na kuongea kingereza ili wazungu wa ZARA wakija angalau tunafahamu kidogo.
 
Safi sana. Nimeipenda hii. Kwetu vijana tunapata ya kujifunza.
 
Wafanyakazi 9,000? I doubt. Kwa vyovyote vile, anastahili pongezi nyingi.
Kwahio kila hotel ina average ya wafanyaki 1800? Kwa hotel moja ya vyumba 100 kila chumba kinahudumiwa na wafanyakazi 18?? Anapata faida kweli??
 
Kwahio kila hotel ina average ya wafanyaki 1800? Kwa hotel moja ya vyumba 100 kila chumba kinahudumiwa na wafanyakazi 18?? Anapata faida kweli??
Kwani umeambiwa anahotel moja hadi chumba kimoja kiwe na wahudumu 18? Akili nyingine bhana
 
Kwani umeambiwa anahotel moja hadi chumba kimoja kiwe na wahudumu 18? Akili nyingine bhana
Wewe kweli Jambazi. Unajua maana ya average?? Haya nkusaidie hesabu basi..
Fanya 9000÷5=1800 then 1800÷100=18

Au bado hujaelewa?

Hivyo vyumba 100 unavyopigia mahesabu ni vya hotel moja tu.
Hotel anazo 5
Bado kampuni yake ya utalii inafanya kazi.
Hao waajiriwa 9000 ni kwa shughuli zake zote
Piga tena hesabu zako vizuri
 
ZARA NI HARD WORKER KICHWA INACHANGANYA BALAA..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…