Mwanamke wa kwanza mtanzania mwenye kumiliki Hoteli 5 za Kitalii

mh! nimependa sana hii. hongera sana dada.kwanza pamoja na umri lakini amejitunza na kuonekana mrembo. hongera kwa hilo pia!
YUKO POA ANAONGEA VIZURI SANA SO COOL ZAINAB ANA KATABIA KA UZUNGU FULANI HIVII SHARP NO LONGOLONGO
 
Behind every successful woman there is a successful man, huyu mama aliolewa na mzungu na fweza mbaya ndio aliyemtoa ingawa nae ni hard worker. Hongera mama hoteli zako ni nzuri mno
YULE MZUNGU NI SIGARA NA POMBE SAAAANA KAMAZAINAB ASINGEKUWA JEMBE WANGEISHIA KULEWA NA KUPONDA RAHA TU ALL IN ALL ZARA AMEJITAHIDI SAAANA NA ALIANZA KIDOGOKIDOGO
 
Huyu mama ameolewa na mswidish kitu ninachomsifu ameweza kumbana huyo mzungu mpaka wakainvest Tanzania kiukweli amefanya kitu kizuri.Changamoto kwa wamama wengine mnaopata wazungu wenyeuwezo mkumbuke kuinvest nchini mwenu.
YEAH ANGEWEZA KUAMUA WALE RAHA LAKINI HAPANA YULE MZUNGU ANAKUWAGA TU MAMA AKIPELEKA WAGENI WAKE MAHALI YEYE ANAGONGA MVINYO MAMA AKIMALIZA WANAENDELEA HUYU MAMA KAJITAHIDI SAAAAANA
 
HAHAHAA NA KWELI HIZI NI HABARI NJEMA ZIMENITEKENYA KWASABABU ZAINAB NAMFAHAMU TANGU HANA HATA HICHO CHUMBA KIMOJA CHA HOTEL NIMEANZA KUMFAHAMU AKIWA NA TOURS YA ZARA SA HIZI NASHTUKIA ANAPONGEZWA MPAKA NAJISKIA KULIA KWA FURAHA HIZI NEWZ ZIMENIPA MOTISHA FULANI HIVII KUNA JAMBO NILIKUWA NALIPUUZIA LA MAENDELEO SASA NITALIFANYA KWAKWELI
 
Fanya fastafasta muda unazidi kukutupa mkono mkuu!!!!
 
Kapicha basi tuone kama na yeye amejaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…