Mwanamke wako ana mpango mbadala

Wanaume wanapojadiliana masuala yao wewe nenda kaangalie Dadaz, kule ndio kuna content za level ya akili yako
🤣🤣Ungekua wa hiyo level Usinge Copy na paste bila ku acknowledge. Mbona Sina tatizo
 
Eeh sass ssi unaona mtu analeta ujuaji basi unamjibu vile anataka maama mie hapa jf ndio sehemu yangu yakutoa stress.

Oya vipi lakini ulishaongea na shangazi Joannah kuhusu kunikubalia ombi langu
🤣🤣🤣wewe acha udomo legend mpaka umsumbue mdogo wangu Lamomy ana mambo mengi ya kufanyaa....we njoo PM tuyajenge sisi wote watu wazima
 
Pm umenipiga block sasa nakupataje inabidi nipite kwa dogo
Tatizo nilivyokuona siku ile kibahati mbaya nna uhakika hata nikija PM tuyajenge siku ya appointment hutokei wewe🤣...mkaka mstaaraaaabu
 
Tatizo nilivyokuona siku ile kibahati mbaya nna uhakika hata nikija PM tuyajenge siku ya appointment hutokei wewe🤣...mkaka mstaaraaaabu
Kwa nini nisitokee wakati mie natamani matiti yako hayo jamani
 
Hivi akili yako iko sawa wewe🤣🤣
?
Wee nilishakwambia mie nilikuwa backbencher na pili uliona wapi mpenda uzinzi akawa na akili wewe 🤣🤣🤣
Ila sio uwongo mie nimevutiwa na matiti yako mshangazi
 
Wee nilishakwambia mie nilikuwa backbencher na pili uliona wapi mpenda uzinzi akawa na akili wewe 🤣🤣🤣
Ila sio uwongo mie nimevutiwa na matiti yako mshangazi
Ngoja ninue wiper za kukuvalisha kwanza
 
I was all intrigued and enjoying the content until u started using kiswahili...it debases ur valid and intelligent arguments. Please kindly rewrite in english so that i can fully assimilate wat u r saying
Mzabzab on one and two...
 
🤣🤣🤣wewe acha udomo legend mpaka umsumbue mdogo wangu Lamomy ana mambo mengi ya kufanyaa....we njoo PM tuyajenge sisi wote watu wazima
Anaogopa kutongoza muelewe tu dyadya 😜
Ananisumbua kweli anataka jibu lake
 
Tufanye nini ili wanawake zetu watupende na watutumikie kwa moyo mkunjufu bila kawaza hata chembe kuhusu kutuacha?

Nawasilisha.
Huna cha kufanya ili mwanamke akupende. Wanawake wana mambo mengi wanayoyataka, UTAYAWEZA? Anatakiwa mwanamke akupende tu unconditional na wewe unatakiwa uwe best choice kwake. Ukiona unafanya juhudi ili mwanamke akupende, huyo mwanamke anakutumia tu wewe SIMP kama daraja kufikia malengo yake ya muda mfupi.

Mwanamume unatakiwa u focus kwenye MALENGO yako na WANAWAKE watakutafuta wenyewe. uki focus kwa mwanamke utakosa kila kitu na hatimaye utabaki huna chochote wala lolote.

Hata siku moja usijitese ili umridhishe mwanamke. Mwanamke anatakiwa kuridhika yeye mwenyewe. Bila hivyo, utakuwa unatwanga maji kwenye kinu. Umsimpatie kitu chako cha thamani ambacho siku atapokuacha UTAJUTA kwa nini ulimpatia.
 
Penzi limevuja tena
Penzi limevuja tena
Penzi limevuja tena
Penzi limevuja tena aah

Ulisema sikiwambaza
Penzi letu ukuta wa chuma
Nikitoka kiwalaza
Utanistiri nywele za nyuma

Mara kwa mara ulilia
Kifuani umenilalia
Ukijuta unayachukia
Yale ulopitia

Eti kama mimi hujaona
Wa kufanana naye
Asa mbona hukusema

Kama ushakutana naye
Napuliza majivu maana moto siuoni
Kooni maumivu vumbi larudi machoni

Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni

Imeniponza huruma kirungi
Kujitisha kumsaidia
Kumbe katoboa mtungi
Maji yananimwagikia.

MBOSSO🎵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…