Mwanamke wangu kaniacha kisa simtafuti mara kwa mara

kichwangum

Member
Joined
Nov 10, 2024
Posts
43
Reaction score
62
Habar ndugu zangu.

Awa wanawake sijiu wanakuwa na shida gani.Yaani kuna muda hata huwezi elewa anataka nini kwako,ili mapenz yadumu.

Anyway nimeachwa kisa anasema huwa simtafuti mara kwa mara. Sasa sijajua anataka nisiwe nafanya hata kazi ili nipate pesa.
 
Oy kmmke "s ununue roboti lakike ulifanye unavotaka" stupid
 
Tyrese Gibson anakuangalia kwa jicho la 3 kisha anasema hii pimbi kweli fala amesema muachane achana nae kikubwa hajakupukutisha ila km amakupukutisha fanya unavyofanya ufidie machungu mwanangu
 
Ukisaka pesa wanasema oh i need ur time, ukosa pesa wanakukwepa kama ukoma sasa sijui tufa yeje jameni.
To yeye njoo utupe muongozo
 
Mwanamke wako au mkeo ?
 
wewe kwanini humtafuti mara kwa mara? huwa unamtafuta mara ngapi kwa wiki labda
 
wewe kwanini humtafuti mara kwa mara? huwa unamtafuta mara ngapi kwa wiki labda
lakn mbna huwa najitaid kumpatia anachotaka hata kama kuna mda namcheleweshea lakn huwa nampa, anyway mi naona kumtafta haihusiani na kuachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…