Mwanamke wowowo vs mwanaume pesa!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Pesa ni uchawi kwa manzi kosa vyote dume usikose mshiko!

Watoto wazuri utaishia kuwaita shemuuu!

Utakuwa member expert Wa punyetooo!

Utakuwa mshika pembe tu wenzio wanakamua maziwa!

Utatengwa hata ktk group discussion chuoni!

Kazi mademu watakudharau

Utaambiwa sura ka hamorapa!

Mwanamke kosa wowowo sasa!
Lifti hupati

Keep change utaisikia hewani!

Offer za lunch sahau

Hutapandishwa cheo

Mumeo atakuwa na michepuko balaa!
Yenye mizigo!

Ongezeeni jamani
 
Wee jamaa hivi kuna kitu cha maana unawazaga??
 
We unaona kutetea buku saba ya Lumumba ndio cha maana!
Inaonyesha niko sahihi, hujitambui! Umetawaliwa na ngono akilini.
Sikujibu swali lako la kipvmbavu sababu sio mahali pake hapa, sichanganyagi majukwaa.
 
Inaonyesha niko sahihi, hujitambui! Umetawaliwa na ngono akilini.
Sikujibu swali lako la kipvmbavu sababu sio mahali pake hapa, sichanganyagi majukwaa.
Kumbe unajua ni jukwaa la stories hili sasa unaropoka nini we ke..nge
 
Ni kweli kuna kujiamini flani kiubinaadam ukiwa financially stable kwa wanaume na ukiwa mzuri asilia kwa wanawake
 
Daaahhh unakatisha watu tamaa lakini pia unawaconvince watafute ela!kuna msemo aliongea mugabe kwamba wanawake wote siku hiyo wagome kwamba hawatoi utamu hadi wanaume wapate dawa ya ukimwi basi haitapita siku dawa itapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…