Mwanamke wowowo vs mwanaume pesa!

Ni kweli kuna kujiamini flani kiubinaadam ukiwa financially stable kwa wanaume na ukiwa mzuri asilia kwa wanawake

hahha hyo imetukuta jana ...jana nilienda town na my mom...bas town wanamjua nikawa naona hongera nyingi kwa mama na kuangaliwa kwa sana nikawa nahs wananishangaa nasweat maana joto la huku ht dar halipo ! kwa mama!maana alikua anawatambulisha wenyej wa kule! hhahhahaah ghafla tukapata lunch kwa mgong wa karibu mgen!lol

asante mama mbiti
 
Weka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…