MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
FAshenista wanaiita LBD(Little black dress)
mwanamke yyt anayependa kwenda na wakati lazima awe na gauni nyeusi kwenye wardrobe yake!
Gauni jeusi huweza kuvaliwa popote pale,sio kila mtoko ukaishia kuvaa jeans na top/blouse
waweza toka kimtoko chako kwa kutupia gauni jeusi
- .waweza vaa na sneakers
- waweza tupia na statement sandles (makirikiri)
- waweza tinga na kiblazer (kikoti kwa juu,iwe cha kitenge au oversized sweater)
- waweza vaa na highheels
- waweza accessorize na necklace na hereni nzuri for an eye catching for your outfit
[HASHTAG]#mwanamkeKujipenda[/HASHTAG]