Nitarudi.katakuja
hahaha umezoea zile pigo zako tu!yeah na sneaker inakuja fresh sana sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na tumbo kubwa kama gunia la viazi mbatata kigauni hiki hakikufai, nenda zako k'koo kajichagulie dela utapendeza pia. Hiki waachie wenye shape zao