Mwanamke

l3unamm3

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
18
Reaction score
20
Hii ni thread yangu maalum kwa Ajili ya hili kwasababu id yangu common itafanya watu waseme “Hata wewe”?

Lengo la thread hii ni kutaka kukutana na mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe muelewa sana
2. Awe na upendo na pia ajali
3. Awe na uwezo wa kushauri masuala mbalimbali
4. Maumivu yake ya zamani asiyahamishie kwangu.

Sifa zangu
1. Mwanaume rijali mwenye miaka 35
2. Naishi Dar es Salaam
3. Sio muongeaji sana na hii imekuwa tatizo kwenye mahusiano yangu yaliyopita
4. Bado nina maumivu ingawa sitayahamishia kwako

Mengine tutazungumza PM
 
Kila la kheli...
Lakinii...
Muelewa sana kwa kipimo kipi? AJALI unamaanisha nini? AU awe mtu wa kujali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…