Mwanamke

Mhhhh hapa kuna utata, wewe l3unamm3 una miaka 30+ na ni mwanamme wa Dar tena mpole? Nikuulize, unataka demu wa kumchezea tu hisia au geresha ili wananchi wakuone kuwa ni rijali? Nyie wanaume wa Dar jamani basi tu, mnajijuwa wenyewe.
 
wanaume wasioongea wabaya sana, ukishapona uje pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe njoo na I d yako ya zamani hizo ndizo tunazoziamini shauri yako utakosa bahati
 
Mmmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…