Mwanamme amkata mkewe vidole vyote! amhadaa "afumbe macho" ampe zawadi

nimie

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
525
Reaction score
105
Kijana mmoja aitwaye Islam nchini Bangladesh amemkata mkewe vidole, baada ya kumlaghai kuwa afumbe macho ili ampe zawadi ya kushtukiza (suprise). Dada huyo mwenye umri wa miaka 21 alifumba macho na kutoa mkono ili kupokea "zawadi" hiyo, ndipo Islam alipomkata vidole vya mkono wa kulia.
KISA, mkewe aliomba na kupata nafasi ya masomo ya elimu ya juu bila kupata ridhaa ya Islam! - (source) TBC Taifa

Najiuliza, hii ni kwa sababu ya dini, wivu, au tuseme ni ujinga tu? Unasemaje?
 
Miujinga mingiiiiiiiiiiiii
watu tunataka shule wengine wanawakataza watu wao..
 
Thread chokozi sana hii
OTIS
 
unashangaa nini???

islam is the religion made for men only.
 
unashangaa nini???

islam is the religion made for men only.

Jamani, anaitwa Islam. Uislam kama dini haujazungumziwa hapo na wala haijaelezwa kama huyo kijana Islam ni muislamu!
 
dini haihusiki hapa ni roho yake mbaaaya na kutopenda maendeleo ya mkewe
 

Huyo ni chizi na jela pekee haimtoshi, naye akatwe linanihii lake hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…