Mwanamme amkata mkewe vidole vyote! amhadaa "afumbe macho" ampe zawadi

Yote uliyoyataja yanasababisha alichofanya!
 
Hii thread value contents ni nini ? Sidhani kila upumbavu flani unaotokea kwengineko duniani uletwe hapa! Kivyovyote vile uislamu haufundishi brutuality lyk.
Hapa unachotaka kukianzia ni faith idiology conflicts na tayari wameshaanza shoutin' wenye dini zao, please usituokotee yasio na faida na community! Be resonable meaningless!
 
shit,tats a big suprise....ntakua nafunga jicho mmoja tu..huyo jamaa pimbi,anastahili maximum sentence ya kifo
 
Huyo ni chizi na jela pekee haimtoshi, naye akatwe linanihii lake hilo.

..hawa watu wa dini hii ndio zao hizo...kuua, kumwaga damu, kujilipua, kulipa visasi (mfano ni hapo kwenye red) nk
 
Huyo ni chizi na jela pekee haimtoshi, naye akatwe linanihii lake hilo.

Mnh, FaizaFoxy dadaangu, unamaana hilo linalihii ndo lina thamani ya hivyo vidole?
 
Kweli si kila mfungwa pale Segerea ni mkosaji, wako wameenda kule kwa maamuzi potofu ya majaji, aidha kwa kuhongwa, kutokuwa makini, kutumia vibaya madaraka waliyonayo, au umahiri wa mawakili wa upande wa washitaki.
Niambie katika hii thread ni wapi uislam umetajwa? Au ndo unataka kutuingiza huko? Matukio ya namna hii ambayo umeyaita "upumbavu" yanaweza kutokea hata kwetu tz. Kwani unafikiri kuna tofauti gani na ukataji wa viungo vya ndugu zetu albino? I wonder if you don't see the value contents!
 
..hawa watu wa dini hii ndio zao hizo...kuua, kumwaga damu, kujilipua, kulipa visasi (mfano ni hapo kwenye red) nk

Meddie, haijatajwa dini yoyote hapo, hilo ISLAM ni jina la mtu, na hiyo haimaanishi huyo kijana ni muislam.
 
Huyo ni chizi na jela pekee haimtoshi, naye akatwe linanihii lake hilo.

Mnh, FaizaFoxy dadaangu, unamaana hilo linalihii ndo lina thamani ya hivyo vidole?
 
waje kumweka jela ya keko. Hizo ndio ndoa za lazima, hawajui kama jamaa amnazo. wanakuozesha tu!!! kamtia kilema mwenzake. kichaa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…