Wataalamu tunaomba ushauri wenu.Je kuna madhara gani kwa kutunga mimba wakati mwanaume akiwa anaumwa au anatumia madawa makali?Chukulia mfano anaumwa malaria,kifua,typhoide na anatumia dawa za magonjwa hayo.Je hii itaathiri mtoto?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.