Mwanamme kumpa mwanamama mbimba akiwa mgonjwa au anatumia dawa kali

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wataalamu tunaomba ushauri wenu.Je kuna madhara gani kwa kutunga mimba wakati mwanaume akiwa anaumwa au anatumia madawa makali?Chukulia mfano anaumwa malaria,kifua,typhoide na anatumia dawa za magonjwa hayo.Je hii itaathiri mtoto?
 
kichwa cha habari kina neno "mbimba", nikiisoma mistari silikuti hilo neno au ulimaanisha nini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…