Mwanamme mkali sana kwa mkewe ipo siku atajuta

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
wanaume tupunguze ukali kwa wake zetu ipo siku ukalia kama rafiki yangu huyu yaliyomkuta
jamaaa alikuwa mkali sana kwa mkewe kiasi kwamba kosa dogo tu anashushiwa kipigo hatariiii
jamaa juzi kaumwa sana kupelekwa hospital akaambiwa akalete mkojo ili wajue anaumwa nini
jamaa asubuh na mapema kachukua mkojo wake vizuri kauweka kwenye kichupa cha hospitali alichopewa. Akauacha juu ya kabati, ili ajiandae kuvaa na kwenda hospitali. Bahati mbaya mkewe kupanga panga vitu kichupa kikadondoka mkojo ukamwagika wote. Kwa kuogopa kipigo faster mkewe kachukua kile kichupa akatia mkojo wake akakirudishia pale, then Akauchuna kimya. Jamaa kupeleka hospitali majibu yakatoka kuwa ana UTI na mimba ya miezi mitatu. sasa jamaa anahisi kalogwa kumbe kajiloga mwenyewe. Hivi yuko njiani kuelekea sumbawangana mimi nmemwambia ukizubaa utajifungulia njiani mtoto njiti
 
Ngoja nikae siti ya mbele ila nitacheka bdae[emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…