Hapo itakuwa burdani kabisaKama Mimi?? Mimi mrefu na Nina uhakika nkikukumbatia ntakufunika wote[emoji28][emoji28][emoji28]
Miongoni mwa vitu sitofanya ni kumpiga mpenzi wangu. Mkishindwana mnaachana tu why mpigane??I agree with you. Mimi ni mpole mno nikipata mpigaji ni rahisi kuamsha ukorofi wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wala usiwazeeee. Umempataaaa
Hahahahahahah. Na basi ndio huondoki tenaaa
Au ndio utapata safari uunganishe mpaka Congo?? Baki na Mimi kigoma hapa bhana
Au ndio utapata safari uunganishe mpaka Congo?? Baki na Mimi kigoma hapa bhana
Huko tutakwenda sote japo route ya kigoma itakuwa ndefuuuu
Mimi hapa nakufaa,picha yangu hiyoView attachment 986845
si unataka mwenye muonekano huo au nimezidi sifa?
aiseh kumbe ndo tunasoko kubwa kiasi hiki#qualifiedNumber 9 na 10 nimezipenda sana. Napenda mwanaume tallest Ili akiwa juu namwangalia machoni akinikumbatia ananifunika mwili mzima naweza kumrukia akanibeba ka mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app