Mwanamme ukisha make it usisettle na broke women

You, you kila kituo, kweli upepo ukipuliza manyoya ya kuku...acha kukariri kila asiyeandika ushamba wako hana elimu, karne ya 21 bado unajivunia kingereza cha Rasi Simba?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
The Mario Mindset
 
Utasikia mpo kwenye mahusiano anakuuliza upo na kazi gani,vp umejenga au umepanga akiona pangu pakavu ni mwendo wa kimya cm hazipokelewi tena,mkuu upo correct 💯 kabisa mimi demu asiyekuwa na kazi au tegemezi hapana
Nyie hqmtaki kuulizwa kama mna hela ila mnataka wanawake wenye hela muwaoe nyie vipi??
 
sisi pia tukisema tusi settle na broke man inakua kesi na maneno ya shombo ila nyie aaaah ni shega tu si ndio wanetu
Huyo huyo unayemuita Mwanaume masikini ukiingia nae kwenye mahusiano bado unamtegemea kwa kila kitu na mwanamke uoni hapo nitatizo? Ingekuwa na wao wanaingia mahusiano na wanawake ambao wanaleta value kwenye hayo mahusiano ingesadia kuyafanya yawe na afya
 
Wanawake mmesikia... na sisi tusikubali kusettle na broke men sawa enhee
Kitu gani una offer kwenye mahusiano yako? Unajua hata huyo mwanaume masikini still ana provide kwa mwanamke na yeye hakuna anachopata kwa huyo mwanamke hiyo ndio point anayomaanisha mtoa mada huyo mwanaume akija kufanikiwa huwa ni kwa juduhi zake mwenyewe iweje afanikiwe abaki na wewe wakati hukumsaidia kwa Chochote ndio maana mtoa mada VERIFY akapendekeza usiwe tena na huyo mtu tafuta independent woman mwenye mchango
 
Na mimi kama independent sitaki poor men, kila mtu ashikilie msimamo wake
 
Umemake au husimake, mwanamke unaye muoa hakikisha mcha Mungu, anakujeshimu na anajua nini maana YA maisha (kuna kukosa na kupata),husifanye maamuzi kwa kuangalia kipato cha mwanamke, mara zote hela yao chungu na wengi wao ni viburi na jeuri.

Sasa hivi Shoboka na Mkewe wanapigana vijembe, mke ana degree nne kasema hawezi kufua boxer,juzi mme akapiga dongo kwamba kuna wanawake wanamental health, baada ya kuwasikiliza waume zao wanakuja kulalamika kupigwa na waume zao,mwendo wa kupigana madogo ndani wamekuwa kama familia ya kambale wote ndevu. Ukirudi kwa Zaro kila siku anavitukana viben ten vyake, ukija kwa Shilole anabdilisha tu mabwana sababu ya ubabe Mzuwanda alikuwa anafumuliwa kwa Uchebe alileta ubabe kapigwa yeye hatujui wa sasa.

Kwenye dunia hii ya sasa kupata mke mwenye hela,ambaye atakujeshimu na kuijua nafasi yake kazi sana kwani wapo wachache mnoooooo, wengi wao wanaviburi na majeuri. Yote kwa yote husiipigie hesabu hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu. Hivi viben ten vinanyasika na kuwa abused kwenye mahusiano sema havisemi.
 
Nyakati hizi wanawake wamekuwa kama wawindaji kabisa,ukiwa mwenye senti kidogo ni shida sana unawindwa kwa nguvu zote na uchawi pia!
 
Nyakati hizi wanawake wamekuwa kama wawindaji kabisa,ukiwa mwenye senti kidogo ni shida sana unawindwa kwa nguvu zote na uchawi pia!
Wanawake wa siku hizi wanamatatizo sana wanasema gender equality lakini ikifika upande wa kuhudumiwa mwanamme ndo awe provider hii hua inanishangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…