MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Kitendo cha Kaka yangu Kocha Jamhuri Kihwelo kutukejeli ( kututania ) Wachezaji wa Yanga SC niliyoichezea kuwa tuna Miili Mikubwa kama Maghorofa ya Bima Tabata lakini hatuna Akili kilitupandisha Hasira na kutuongezea Ari Wachezaji wa Yanga SC na kutufanya tucheze kwa Nguvu zote ( Jihad ) na tukafaniwa Kuwafunga Goli 2 - 1 Uwanja wa Uhuru ", alisema Mwanamtwa Kihwelo a.k.a Dally Kimoko.
Taarifa: Sports Headquarters ya EFM jana.
Taarifa: Sports Headquarters ya EFM jana.