Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,055
Kuna mdau wangu wa karibu sana (age 27) analalamika kuwa tangu amejaribu day 1 kufanya mapenzi hasikii kitu chochote kabisa ameshakuwa na mahusiano na wadada wanne mpaka sasahivi.
Sasa nimeshindwa kumsaidia kimawazo so nikaona si vibaya niliwasilishe humu ili wadau walijadili.
Asanteni
Sasa nimeshindwa kumsaidia kimawazo so nikaona si vibaya niliwasilishe humu ili wadau walijadili.
Asanteni