hapa tuanze kuhusu PUNYETO, unajua mashine ukiizoesha mkono siku ikiingia pangoni wala haisisimki maana ngozi ya mkono na ngozi ya pangoni ni tofauti kabisa.
pia maandalizi, je anafanya mapenzi akiwa willing kufanya hivyo? mwanamke naye lazima aoneshe mwitikio wa hisia kwa mwanaume ndio mechi itaenda vizuri.
tatu mawazo mengi/stress au depression kutokana na hali fulani aliyonayo.
zaidi ya hapo inabidi amwone daktari baada ya magojiano itajulikana tu nini tatizo, kama ni kuchoka haraka, homoni au vp maana yawezekana hajakuambia kwa kirefu.