Mwanamusic Nandy ndani ya Runinga ya KTN Kenya Mubashara

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491


Nandy: Baraza la Wasanii TZ limenifunza vitu vingi kama vile sheria

Nandy: You can do anything, kila kitu kinawezekana kama una focus

Nandy: Governor wa Mombasa Hassan Joho ana support sana mziki wa Tanzania na tunafurahi kwa hilo

Nandy: Wazazi wangu wamenishika mkono katika career yangu ya mziki
 
ha ha
Kipimo gani umetumia.? Mpaka nikitembea mapigo ya moyo yaenda mrama kama upepo wa kusi
hivi kwa nini tunapishana sana siku hiz alokuficha huyo ole wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…