Mwanamuziki Adele atangaza kupumzika kufanya Muziki

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
1725350103015.png

Who is Adele?
Jina: Adele Laurie Blue Adkins

Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988

Idadi ya Albamu: 4

Tuzo za Grammy: 16

Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo 25 kwenye Billboard Hot 100, ikiwa ni pamoja na nyimbo 8 zilizoingia kwenye Top 10.

Mshindi wa Grammy mara 16 Adele ametangaza rasmi kupumzika kufanya shughuli za muziki kwa muda mrefu.

Hayo aliyasema Adele siku ya Jumamosi Agosti 31 wakati akiwa kwenye tamasha lake mjini Munich kwa kudai kuwa pindi atakapokamilisha makazi yake mjini Las Vegas Novemba, atachukua mapumziko ya muda marefu.

"Nimekuwa nikijitahidi kujenga maisha mapya kwa muda wa miaka saba iliyopita, na nataka kuyaishi. Nataka kuishi maisha mapya niliyoyajenga, "alisema Adele, huku sauti yake ikitetemeka. Aliongeza kuwa huenda asirudi jukwaani tena kwa muda mrefu.

Hata hivyo bado anatarajia kuonekana jukwaani ifikapo Oktoba 25 hadi Novemba 23, kwenye onesho la mwisho la Las Vegas, Weekends with Adele.

Mbali na maisha ya muziki takumbuka kuwa mwaka wa 2019, Adele na Simon Konecki ambaye wana mtoto mmoja pamoja walitangaza kuachana.

Kisha mwaka 2021 akahusishwa kimapenzi na wakala wa michezo Rich Paul, hata hivyo uhusiano wao haujathibitishwa huku kukiwa na uvumi kuwa wanajiandaa kufunga ndoa.
 
Who the hell is this musician, by the way?
 
Hata hiyo Hello ya Adele niliifahamu kupitia cover iiliyofanywa na Joe Thomas.
 
Kawaida tu, kuna watu, achana na wimbo, hata Bob Marley mwenyewe hawajawahi kumsikia
Mbongo huwa anapenda ajue kila kitu. Ndio maana haziivi na Wakenya, wote walewale.
 
Who is Adele?
Jina: Adele Laurie Blue Adkins

Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988

Idadi ya Albamu: 4

Tuzo za Grammy: 16

Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo 25 kwenye Billboard Hot 100, ikiwa ni pamoja na nyimbo 8 zilizoingia kwenye Top 10.

Mshindi wa Grammy mara 16 Adele ametangaza rasmi kupumzika kufanya shughuli za muziki kwa muda mrefu.

Hayo aliyasema Adele siku ya Jumamosi Agosti 31 wakati akiwa kwenye tamasha lake mjini Munich kwa kudai kuwa pindi atakapokamilisha makazi yake mjini Las Vegas Novemba, atachukua mapumziko ya muda marefu.

"Nimekuwa nikijitahidi kujenga maisha mapya kwa muda wa miaka saba iliyopita, na nataka kuyaishi. Nataka kuishi maisha mapya niliyoyajenga, "alisema Adele, huku sauti yake ikitetemeka. Aliongeza kuwa huenda asirudi jukwaani tena kwa muda mrefu.

Hata hivyo bado anatarajia kuonekana jukwaani ifikapo Oktoba 25 hadi Novemba 23, kwenye onesho la mwisho la Las Vegas, Weekends with Adele.

Mbali na maisha ya muziki takumbuka kuwa mwaka wa 2019, Adele na Simon Konecki ambaye wana mtoto mmoja pamoja walitangaza kuachana.

Kisha mwaka 2021 akahusishwa kimapenzi na wakala wa michezo Rich Paul, hata hivyo uhusiano wao haujathibitishwa huku kukiwa na uvumi kuwa wanajiandaa kufunga ndoa.
Atarudi na album yenye jina 35
 
Back
Top Bottom