Mwanamuziki Coolio kwa vijana wa enzi hizo

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,985
Kweli ujana maji ya Moto, kwa sisi vijana wa wakati huo, au Old school wengi tunamkumbuka vizuri rapa wa kimarekani wa Enzi hizo coolio, aliyetamba na vibao kadhaa kama vile I'll c u when u get there hapa sasa akiwa Ni kijana Wa Enzi hizo, embu mcheki hapa jamani too sad

 
Embu mcheki hapa sasa alivo mtu mzima, kweli binadamu maisha tunapita.
Mzee Wa the gangster Paradise
Kama sikosea mwaka Jana alikyla kifungo cha miaka mitatu jela kwa kukutwa na silaha kinyume na sheria
Alizaliwa tarehe 01/8/1963
 
Mkuu mtafute na Mr cheeks pia na Big dad cane,,yaani kwa sasa wamezeeka kabisa,hata DMX ukimuangalia kwa sasa ana mvi hadi kwenye ndevu
 
Even my mamma thinks that my mind is gone.
Hiki kipande nakipendaga sana
 
Nami nakumbuka ile sauti ya nyuma ohhhhhh ohh ohhhh ohhh kwenye gangstar paradise

zamani sana kipindi icho moshi ilikuwa ina shika redio one, sauti ya injili na RFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…