Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Gangster paradise bonge ya ngomaEmbu mcheki hapa sasa alivo mtu mzima, kweli binadamu maisha tunapita.
Mzee Wa the gangster ParadiseView attachment 488631 View attachment 488632 View attachment 488633 View attachment 488631 View attachment 488632 View attachment 488633
Kama sikosea mwaka Jana alikyla kifungo cha miaka mitatu jela kwa kukutwa na silaha kinyume na sheria
Alizaliwa tarehe 01/8/1963
Nami nakumbuka ile sauti ya nyuma ohhhhhh ohh ohhhh ohhh kwenye gangstar paradise
zamani sana kipindi icho moshi ilikuwa ina shika redio one, sauti ya injili na RFA
teh teh misanya bingi julius nyaisanga charles hilary kitenge.
Julius nyaisanga babu wa kimazzi chana dahhh nimekumbukia watoto show
Duh! coolio kawa gulio waqt unakwenda wapi? zile nywele zilizokuwa zimechanua kama mchicha hazipo tena? jicho flan la gampera aaah waqt una kwenda sana.View attachment 489463 kweli tunazeeka
Arrest development, LL cooL j, Dr dre, jon secada,bob chappele , mc hammer, mc snow ,vannilla ice etcMkuu mtafute na Mr cheeks pia na Big dad cane,,yaani kwa sasa wamezeeka kabisa,hata DMX ukimuangalia kwa sasa ana mvi hadi kwenye ndevu