Mwanamuziki Matonya ashtakiwa kwa ubakaji nchini Kenya

Kenya hawachukii wasanii wa Bongo Mkuu,
Kuna wasanii wanajaza kenya kuliko Bongo, Mfano Christina shusho.
point of correction. Tofautisha wasani wa injili na bongo flava. Na hapa i think tunaongelea bongo flava. Zuchu alivoanza kuimba si walimpa mgongo na kuanza kuimba wimbo wa taifa, diamond wakenya wengi walimunfollow hadi kaomba poo. Wa injili hawana tatizo nao
 
Wasanii wabongo kuna somo hapo wanatakiwa kujifunza maana kuna vitu vya ajabu sana uwafanyia wasichana wabongo aswa kwenye matamasha au show zao wakiwa bongo ambazo kwa nchi za nje ni kinyume na sheria wabadilike maana kama wangekuwa kwenye nchi izo nadhani tungebaki na DUDU BAYA tu uraiani na wengi wangefilisiwa kama awa wakiana Diamond sahivi nahisi angekuwa kapuku maana sio kwa kuzaa uko na kila mwanamke angekuwa UK au USA nahisi mademu wote aliwazalisha wangefaile divorce wangemfilisi kabisa.
 
Huyo atakuwa kamkopa mkenya kwa umaarufu wake wa zamani bila ya kujua zama zimebadilika..!!

Wakenya hawataki mchezo kwenye biashara zao za papa oohh..!!
dudubaya kuna interview ya muda kidogo amewahi kumzungumzia Matonya kuwa ni miyeyusho kuwa ni mwizi aka mdokozi pia ukitembea naye achelewi kukuachia msala na ukimlipa kabla ya show anaweza ata kutotokea kwenye show na iyo inathibitisha kweli ni miyeyusho nahisi dudubaya hii issue ataizungumzia tu soon
 
Ujumbe._acha biashara kwa Papaaa za watu

Kazi ni Kaz na iendeleee
 
Huu ni mtego wa wazi kabisa. Manzi wa Kibera amekuja mwenyewe geto! Kufika geto jamaa akamvua kyupi kibabe na kulamba buyu la asali! Mwisho wa siku anamuuzia jamaa yetu msala.

Na wewe Matonya utakuwa ni mshamba tu! Bongo akina Giggy Money wamejaa tele! Ukimuita geto, anakuja na kyupi yake ameishikilia mkononi! Yaani akifika wewe unadumbukiza tu, na kumaliza! Iweje ukayavamie hayo Manyang'au! Ona sasa ulichovuna.
 
Mbona huyo matonya ni mwenyeji sana huko Mombasa
Madem wa kikenya wanamichezo hyo mnaweza mkakubaliana mkazama ndani badaye anakuchenjia,anyway akiwa na wakili mzuri anatusua

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…