Ok nikija dsm ntakaribia hapo kilingeni hahaa yes hiphop inauza nshakuja hapo nikakutana na songa pamoja na nikki mbishi tatizo wacongo wengi sana hapo kilingeni.
mkuu jumamosi wakongo mchana hawapo ila huyu anayeitwa nikki mbishi huyu jamaa ni hatari yaani kashindikana kuanzia mistari huru mpaka punchlines kazidiwa na fid q peke yake wengine wote hawamuwezi kwa lolote
jamAa katiririka safi sana, nimetafuta mp3 lakini wapi, yoyote mwenye nayo anipe link
uliipata? nirushiepo basi
mkuu jumamosi wakongo mchana hawapo ila huyu anayeitwa nikki mbishi huyu jamaa ni hatari yaani kashindikana kuanzia mistari huru mpaka punchlines kazidiwa na fid q peke yake wengine wote hawamuwezi kwa lolote
youtubeuliipata? nirushiepo basi
Promo onlyMarch 6- 2018
Nash Mc Kaachia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la "Maneno"
Wimbo mzuri sana! Wadau wa Nash mc kazi kwenu.
Nash mc-Maneno.
Promo kivipi kamanda..?Promo only
magazeti pendwa yanaharibu wandishi wetu. mia
March 6- 2018
Nash Mc Kaachia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la "Maneno"
Wimbo mzuri sana! Wadau wa Nash mc kazi kwenu.
Nash mc-Maneno.
Salaamu -Kaveli-Maalim Nash a.k.a Uchebe... MC mwenye VVU.
Bado sijaipata hiyo track yake mpya 'maneno', ngoja niitafute.
-Kaveli-
Kumbe kaachia ,mbupu linaloitwa vvu? Mm nilijua ana ngoma!!!