Mwanamuziki Nguli Oliver Mtukudzi afariki dunia

Rest In Peace [emoji111]️


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wimbo wake wa Todii ndio niliojifunzia kupiga guitar.

Ukakone unono kwa nguruvi buda.
 
Band yake nzima ilipukutika kwa ukimwi hadi akatunga wimbo wa Todii ambao unazungumzia madhila ya kifo aswaa cha ukimwi. Na inaaminika hata yeye alikuwa na Nyani(HIV) na aliibaini mapema na tayari ARV zikaingia ndio maana kasogeza hadi 66.

Kama kuzaliwa kulivyo Muhimu basi hata kufa ni Muhimu pia. Kufa kunoga. Sijui zamu yangu lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUTOKA HARARE ZIMBABWE, Oliver Mtukzi amefariki dunia akiwa na miaka 61, huku akiwa ametoa album 67.

Mziki wa afropop ulipendwa sana duniani.

Ameugua kwa muda mrefu kiasi cha kufuta maonesho yake ambayo yalikuwa tayari yamepangwa.

RIP OLIVER
 

Attachments

  • 620x349.jpg
    19.9 KB · Views: 33
Habari kutoka Zimbabwe ni kuwa mwanamuziki maarufu Oliver Mtukuze amefariki dunia. Mtukuze amefariki Leo mchana ktk hospital moja jijini Harare akiwa na miaka 66.

Ugonjwa uliomuua haukutajwa japo afya yake imekuwa ikizorota kwa muda mrefu.

Chanzo: BBC
 
Oooh RIP my hero!
Alikuja hapa Dar mara mbili psle Serena, na mara zote nilienda kumuona!

RIP Oliver Mutzukuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…