Mkuu kuhusu kucheza na kamera, jaribu kuangalia karibia nusu ya wimbo wote, kwanza imechukua nusu, yani kuanzia kichawi hadi kwenye kiuno, pili kwenye location ya kwenye lile boma au Hall ilitakiwa yeye ndio aisumbue camera kila kona, na sio kukaa sehemu moja tu kana kwamba alikuwa kwenye korido hivyo asingeweza kujitanua, au ile camera ilikuwa imetegeshewa sehemu moja?Huu ni wimbo na video ya kwanza ya Rosa Ree toka alipotoka kwenye label ya The Industry ya Nahrel.
Mi naona amejitahidi japo haijafikia zile nyimbo zilizopita.
Kuna mdau kasema hawezi kucheza na kamera. Labda hajaiangalia hiyo video vizuri. Amecheza kamera vizuri sana.
Kuhusu Flow na mistari. Huyu dada sio mtunzi mzuri wa Kiswahili. Hii inaweza changia.
[emoji28] [emoji28] zilipendwaBeat limembeba. Kwenye ku rap na utunzi bado kuna vitu anamiss kuufanya muziki wake unoge kama Hiphop.
Alafu bado hajajua kucheza na camera, swaga za kubinua midomo, ili uonekane ndio mgumu zilishapitwa na wakati.
Hilo ni tatizo la Director wa video sio yeye. Ukisema kutokucheza na kamera unamaanisha Mtu amezubaa , hajishughulishi. Ye kasimama tu na mara nyingi anatizama pembeni. Kama anaionea aibu kamera.Mkuu kuhusu kucheza na kamera, jaribu kuangalia karibia nusu ya wimbo wote, kwanza imechukua nusu, yani kuanzia kichawi hadi kwenye kiuno, pili kwenye location ya kwenye lile boma au Hall ilitakiwa yeye ndio aisumbue camera kila kona, na sio kukaa sehemu moja tu kana kwamba alikuwa kwenye korido hivyo asingeweza kujitanua, au ile camera ilikuwa imetegeshewa sehemu moja?
Teheheheheh nilitegemea hili zigo ungemshusia "Director". Kuna clip moja hapa imegoma kuwa posted. Nilitaka uone ni jinsi gani msanii anavyotakiwa kuisumbua camera ili kupendezesha video.Hilo ni tatizo la Director wa video sio yeye. Ukisema kutokucheza na kamera unamaanisha Mtu amezubaa , hajishughulishi. Ye kasimama tu na mara nyingi anatizama pembeni. Kama anaionea aibu kamera.
Poa. Ikikubali nitumie niongeze elimu Ndugu.Teheheheheh nilitegemea hili zigo ungemshusia "Director". Kuna clip moja hapa imegoma kuwa posted. Nilitaka uone ni jinsi gani msanii anavyotakiwa kuisumbua camera ili kupendezesha video.
Thats very true..Huyu Manka angekuwa Nchi za mbele tungrkuwa tunaongelea ishu nyingine.
Ila hapa bongo watamchakaza sana
Lakini wimbo mzuri aisee sijui atoe kimtindo gan ili umsifie Hata kusema kajitahidi inatosha sasa unamkosoa utazan anamda mrefu kwenye gameukosoaji kwaajili ya positive changes sio wivu, angalia hata marapper wakike wa mbele, ushawahiona wanarusha rusha mikono?? man ( denoo49 ) anapoint nzuri tu
Lakini wimbo mzuri aisee sijui atoe kimtindo gan ili umsifie Hata kusema kajitahidi inatosha sasa unamkosoa utazan anamda mrefu kwenye game
Wa Tz kwa uchambuzi tuko vizuriBeat limembeba. Kwenye ku rap na utunzi bado kuna vitu anamiss kuufanya muziki wake unoge kama Hiphop.
Alafu bado hajajua kucheza na camera, swaga za kubinua midomo, ili uonekane ndio mgumu au unafanya muziki wa kigumu zilishapitwa na wakati.
WELL SAID MKUUSure angekuwa habari nyingine ila hata hapa akiamua anaweza kuwa habari nyingine pia. Mungu aliyefanya awe hapa anakusudio lake na nzuri zaidi ameweza kujua anakipaji gani.
Kuhusu nini afanye? Hili swali nitalijibu kwa ujumla. Aina ya muziki anaofanya kama sitakuwa nje ya mstari na mawazo yake ni muziki aina ya Hiphop
Mara nyingi aina ya Muziki huu ili uwe bora zaidi unahitaji utunzi wa "mistari inayoishi". Na hapa ndipo utakapo acha legacy yako katika jamii inayokuzunguka.
Mpaka leo tunaona, mfano Mtu kama 2pac bado anaongelewa kwenye fikra za watu na baadhi ya tungo zake zinafanyiwa remix mpaka kesho, si kwamba alikuwa "bora sana" kuliko wengeni katika kurap, ni vile tu aliweza kuandika "mistari inayoishi"
Hapa Tanzania kuna watu walifanya Muziki na wakapendwa sana na kulipwa pesa nyingi, vile waliweza kuandika "Kuku kapanda baiskeli", ila leo huo muziki ukichezwa tena sijui kama utaweza kukusanya kijiji kama hapo mwanzo.
Tujiulize tena ni kwanini Muziki wa Msondo ukichezwa leo bado unavuta hisia kwa msikilizaji japo unabezwa ni Zilipendwa?
Natumai nitakuwa nimeeleweka kwa kiasi fulani nilichokuwa namaanisha, katika kukosoa kwangu.