K Kalemba JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 1,375 Reaction score 2,255 Feb 21, 2025 #1 Enzi hizo morogoro kulikuwa na kisima cha wanamuziki mbalimbali, nimemkumbuka Salim Abdala kaburi lake lilikuwa karibu na shule ya msamvu p/school
Enzi hizo morogoro kulikuwa na kisima cha wanamuziki mbalimbali, nimemkumbuka Salim Abdala kaburi lake lilikuwa karibu na shule ya msamvu p/school
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Feb 21, 2025 #2 Kalemba said: Enzi hizo morogoro kulikuwa na kisima cha wanamuziki mbalimbali, nimemkumbuka Salim Abdala kaburi lake lilikuwa karibu na shule ya msamvu p/school Click to expand... Mbalaka mwishehe,mtaa wa Saba!
Kalemba said: Enzi hizo morogoro kulikuwa na kisima cha wanamuziki mbalimbali, nimemkumbuka Salim Abdala kaburi lake lilikuwa karibu na shule ya msamvu p/school Click to expand... Mbalaka mwishehe,mtaa wa Saba!
K Kalemba JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 1,375 Reaction score 2,255 Feb 21, 2025 Thread starter #3 Kimwakaleli said: Mbalaka mwishehe,mtaa wa Saba! Click to expand... Yeah,miaka iyo 1990 tunasoma morogoro tulikuwa tunakatiza mitaa ya nunge kwa kina Salim Abdala,kulikuwa na magari ISUZU INJECTION zimeandikwa SAY
Kimwakaleli said: Mbalaka mwishehe,mtaa wa Saba! Click to expand... Yeah,miaka iyo 1990 tunasoma morogoro tulikuwa tunakatiza mitaa ya nunge kwa kina Salim Abdala,kulikuwa na magari ISUZU INJECTION zimeandikwa SAY
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Feb 21, 2025 #4 Kalemba said: Yeah,miaka iyo 1990 tunasoma morogoro tulikuwa tunakatiza mitaa ya nunge kwa kina Salim Abdala,kulikuwa na magari ISUZU INJECTION zimeandikwa SAY Click to expand... Daah kifo,kibaya sana,juzi kati kafariki mwanamuziki nguli ,Tabia Mwanjelwa!
Kalemba said: Yeah,miaka iyo 1990 tunasoma morogoro tulikuwa tunakatiza mitaa ya nunge kwa kina Salim Abdala,kulikuwa na magari ISUZU INJECTION zimeandikwa SAY Click to expand... Daah kifo,kibaya sana,juzi kati kafariki mwanamuziki nguli ,Tabia Mwanjelwa!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 22, 2025 #5 Sawa sawa