real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Hali ya Mwanamuziki mkonge wa Miondoko ya Dance nchini Tanzania Bwana.Shaban Dede aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar Es Salaam akipatiwa matibabu inaendelea kuimarika vyema.
- Mtoto wa Mwanamuziki huyo Hamad Shaban Dede amethibitisha hali ya baba yake kuendelea kuimarika alipokuwa akihojiwa kupitia kipindi cha hizi nazo kinachorushwa na [HASHTAG]#RadioOneStereo[/HASHTAG], ambapo kwa siku za hivi karibuni baadhi ya mitandao ya kijamii ilizusha kuwa Mwanamuziki amefariki jambo ambalo halikuwa na ukweli.
Chanzo: ITV