Kaimba nyimbo zoteapone haraka kwa nguvu za mungu, ila sijui kaimba nyimbo gani.
Umekuwa muungwana kumtakia kheri ingawa hujui alichoimba ndugu huyu ni mmoja wa manguli wa muziki wa dansi nchini toka bimalee sikinde mpaka msondo ngoma vibao kama talaka rejea au milionea wa mapenzi ni miongoni mwa vibao vyake maarufu Shaaban dede (kamchape )apone haraka kwa nguvu za mungu, ila sijui kaimba nyimbo gani.
Kiu ya jibu,christina.Kaimba nyimbo zote