TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

So sad...RIP Tina.

'What's Love Got to Do' haijawahi kunichosha....that energy!! The song always leaves me with goosebumps..
 
Tina Turner, who has died at the age of 83, was widely referred to as the Queen of Rock'n'Roll.

She rose to fame as the lead singer of the Ike & Tina Turner Revue before her career as a solo performer took off in the 1980s.

She is best known for hits including The Best, Private Dancer, What's Love Got to Do With It, Typical Male and Let's Stay Together.






 
nimeumizwa sana na kifo chake nilipoona news mahali nikajua uzushi nikawasha tv sky news naona maombolezo daaaa mapigo ya moyo kasi
Tiner Turner alikua mpambanaji sana historia ya muziki na maisha alivifanikisha kwa mafanikio makubwa sana!
R.I.P legend!
 
Kazaliwa kwenye umasikini, kapitia ubaguzi wa rangi, kapigwa sana na mume wake Ike Turner, kapigania sana career yake, mpaka kawa superstar.

Kuna mshua mmoja alikuwa anakuja home, ilikuwa humwambii kitu kuhusu Tina Turner.
Mara nyingi sipendagi kuwa on your side kwa sababu tu, ya ubishi wako.

Lakini leo umenikosha.
Kwa jinsi ulivyomdadavua mwanamama kipenzi cha watu marehemu Tina Turner.

Much appreciation Compatriot👏
 
Mara nyingi sipendagi kuwa on your side kwa sababu tu, ya ubishi wako.

Lakini leo umenikosha.
Kwa jinsi ulivyomdadavua mwanamama kipenzi cha watu marehemu Tina Turner.

Much appreciation Compatriot👏
Sasa leo wewe ndiye umeniletea ubishi kwa kukataa kutokuwa upande wangu.

By the way, hakuna maendeleo bila ubishi.
 
Maisha yake ya ndoa na ana watoto, wajukuu na vitukuu wangapi ndio nitulie
 
Maisha yake ya ndoa na ana watoto, wajukuu na vitukuu wangapi ndio nitulie
Watoto wawili mmoja kwa saxophonist wa ike, wa pili na Ike Turner, huyu ike ndiye aliyempa jina la Tina turner , jina lake halisi Ni Ann Bullock

Pia aliwakuza watoto wawili wa Ike Turner ,ana wajukuu wawili, ana one divorce na ndoa moja

Jina la Tina alipewa kutokana na comic book ya Sheena, huyu katuni alikuwa mdada machachari alijekulia msituni Africa, mwenye uwezo mkubwa kupambana msituni. Ndipo Ike Turner akampa jina hilo kwa kuwa linafanana kwenye mtamshi
 
RIP
Kuna kipindi nilisikia sauti yake inatumika kufukuza ndege wanaosababisha ajali Airport
 
Nyie wazee ndio mlimfaidi Tina, mimi my late father alikuwa shabiki wake mkubwa akafanya na mimi nimpende. Sasa hata watoto wangu wanajua nyimbo zake.

Rest in peace Tina [emoji120]
 
Nyie wazee ndio mlimfaidi Tina, mimi my late father alikuwa shabiki wake mkubwa akafanya na mimi nimpende. Sasa hata watoto wangu wanajua nyimbo zake.

Rest in peace Tina [emoji120]
Tina alisifiwa siyo kwa muziki wake tu bali pia kwa miguu na supu zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…