Mwanamuziki wa fm academia afariki dunia.

Mwanamuziki wa fm academia afariki dunia.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Kutoka kwenye status ya fb ya John Kitime;

Mpiga solo Luigi B52 wa FM Academia amefariki dunia. Msiba uko Mwananyamala kwenye kambi ya bendi. Jirani na kituo cha Mwananyamala A. Mungu amlaze pema Amen.

RIP B52.
 
Pole sana sie wapenzi wa fm academia. Hivi ana undugu na Erickb52?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana sie wapenzi wa fm academia. Hivi ana undugu na Erickb52?

Dah! namfahamu sana huyu,amezunguka sana katika show na Saida Karoli na alimpigia solo almost nyimbo zote! R.I.P B52
 
Last edited by a moderator:
ni mmoja wa waanzilishi wa Bendi ya FM Musica ambayo ilikuja kuitwa FM Academia.
ukitaka kujua kipaji chake basi sikiliza sebene liliitwa Atomic...

Balaa
 
Pale pub ya demonte a.k.a aunt ezekiel pub upande wa pili(opposite) kuna barabara ya vumbi ukiingia hiyo barabara mkono wa kulia nyumba ya tatu aisee wakongoman walikuwa wanamuangalia koffi tu kwenye tv msibani
hii misiba ya siku hizi balaa
 
Luigi B52 amefariki dunia. Luigi ambaye ndie pia alipiga solo katika album maarufu ya Chambua kama Karanga ya Saida Karoli,,,,,,
 
Picha muhim coz wngne hatumfahamua R.I.P mpiga solo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
jamani Pole sana kwa familia na Kundi zima la Fm Academia ...
RIP Luigi
 
photo tafazali.rip mpiga solo
rip rip

image.jpg
 
Pale pub ya demonte a.k.a aunt ezekiel pub upande wa pili(opposite) kuna barabara ya vumbi ukiingia hiyo barabara mkono wa kulia nyumba ya tatu aisee wakongoman walikuwa wanamuangalia koffi tu kwenye tv msibani
hii misiba ya siku hizi balaa

Kwani katika hao, yupo mwenye kuamini !?
 
Back
Top Bottom