Mwanamuziki wa Kenya Avril Apangua Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Diamond Platnumz

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Judith Mwangi 'Avril' ambaye alicheza kama video queen kwenye wimbo wa Diamond Platnumz 'Kesho' amefunguka na kusema hakuwahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz kama ambavyo baadhi ya watu walivyokuwa wakidhani

Msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii kutoka Kenya Avril.
huenda kuwa Diamond Platnumz baada ya video hiyo labda alitumia nafasi hiyo kutoka naye kimapenzi.

Avril kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio alisema kuwa yeye na Diamond Platnumz hawakufanya project nyingine yoyote zaidi ya kutengeneza video ile ya 'Kesho' japo alimuelezea Diamond kuwa ni msanii mpole sana na mwenye kupenda kazi yake na kujituma.

"Diamond ni rafiki yangu ni mtu poa sana, tumejuana kwa muda mfupi lakini ni msanii mwenye bidii ya kufanya kazi na kukutana na msanii mwenye bidii ni jambo zuri, hi mtu mzuri mpole hana maneno na watu. Najua vyombo vya habari vinampa sifa nyingi tofauti na yeye lakini ukikutana na yeye moja kwa moja ni mtu mzuri sana. Baada ya kufanya ile video ya kesho hakuna project nyingine tulifanya" alisema Avril

Mbali na hilo Avril alitaja wasani watano kutoka Tanzania ambao anawakubali na kuanza na Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Raymond, Vanessa Mdee pamoja na Linah Sanga.

SOURCE :BONGO YETU BLOG
 
Hee kwani nani anasemaga nimeliwa na fulani ? Gigy Money tu ndio kavunja hiyo rekodi na wala hata simlaumu ,

One night stand kitu gani bana ,mtoto wa Tandale sijui kama kakuacha
 
Mwanamuziki wa Kenya Avril Apangua Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Diamond Platnumz

Udaku Specially 2 hours ago

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Judith Mwangi 'Avril' ambaye alicheza kama video queen kwenye wimbo wa Diamond Platnumz 'Kesho' amefunguka na kusema hakuwahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz kama ambavyo baadhi ya watu walivyokuwa wakidhani

Msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii kutoka Kenya Avril.
huenda kuwa Diamond Platnumz baada ya video hiyo labda alitumia nafasi hiyo kutoka naye kimapenzi.

Avril kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio alisema kuwa yeye na Diamond Platnumz hawakufanya project nyingine yoyote zaidi ya kutengeneza video ile ya 'Kesho' japo alimuelezea Diamond kuwa ni msanii mpole sana na mwenye kupenda kazi yake na kujituma.

"Diamond ni rafiki yangu ni mtu poa sana, tumejuana kwa muda mfupi lakini ni msanii mwenye bidii ya kufanya kazi na kukutana na msanii mwenye bidii ni jambo zuri, hi mtu mzuri mpole hana maneno na watu. Najua vyombo vya habari vinampa sifa nyingi tofauti na yeye lakini ukikutana na yeye moja kwa moja ni mtu mzuri sana. Baada ya kufanya ile video ya kesho hakuna project nyingine tulifanya" alisema Avril

Mbali na hilo Avril alitaja wasani watano kutoka Tanzania ambao anawakubali na kuanza na Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Raymond, Vanessa Mdee pamoja na Linah Sanga.
 
Ila haka kademu nakatamanigi, Diamond kama alimuacha atakuwa fala
 
Avril anapenda kutoka kimapenzi na wasichana wenzake na Enjoyigi sana nikimuona anaigiza kwny sumu la penzi
 
Kuna mwingine anapakaziwa kuanzia usiku huu, mtalwakwa halali anataka kuhakikisha Diamond na Zari wanaachana sababu wivu umemjaa. Subiri atawaletea mwenyewe habari hiyo humu jf... Mie nimeipita na nitaipitaaaaaaaaaaa labda nikunweeeeeeee haswa bila kushawishika kurusha madongo.
 
Binafsi namkubali sana Vick Kimani...ana boonge la mshepu,yaaan kama Domo akisema hapa hajakula mzigo atakuwa muongo tuuu.....cheki mtoto kabambiwa halafu kavaa kibikini tuu
v4.png
 
Kuna mwingine anapakaziwa kuanzia usiku huu, mtalwakwa halali anataka kuhakikisha Diamond na Zari wanaachana sababu wivu umemjaa. Subiri atawaletea mwenyewe habari hiyo humu jf... Mie nimeipita na nitaipitaaaaaaaaaaa labda nikunweeeeeeee haswa bila kushawishika kurusha madongo.
Yule hana kazi naona she is hell bent on showing how stupid she is. Atabaki kuwaona Diamond na Zari wakipepea tuu.
 
Oh kumbe huyu nkajuwa yule mwingine anaeishi state Victoria yule sidhan kama Mondi alimwacha jaman dada amekaa kuliwaliwa yule mweeeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu lile demu kifaa
 
Back
Top Bottom