Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
ameanguka baada ya stage aliyokuwa anatumia ku-perform kuporomoka.

i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi zao wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye events kubwa za kenya.

inawezekana wanafanya hivi ili kupunguza kasi ya wanamuziki wa tz kwenda kufanya show kenya.ifahamike tu kwamba hata diamond platnumz ana ratiba ya kupeleka wasafi festival ndani ya kenya na mipango yote ipo well organized.

but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wakenya wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

pole sana aslay.

Screenshot_2018-11-11-19-59-28-893_com.instagram.android.jpeg

video[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ingekua bora baada ya kutiririka hisia zako halafu ukatujuza habari kamili maana kuna wale tunaishia kusoma povu zako haalfu hatimaye tunabaki kapa bila kujua nini kilitendeka, weka taarifa au link tukajisomee.
Chochote chaweza kutokea maana hata Watanzania wenyewe kwa wivu wenu huwa mnafuatana hadi Kenya, nakumbuka siku meneja wa Diamond akija kumzimia Ali Kiba mike huku.
Huyo Ashley hana lolote kubwa la kufanya ahujumiwe na Wakenya, bora ungesema msanii wa kuskika kama akina Diamond, huyo Ashley ni dogo tu bado anajitutumua kuamka, binafsi hata sikua namkumbuka hadi juzi mlipoleta mada humu eti kapokelewa kule kijijini maeneo ya Turkana mkasema anapendwa zaidi ya rais ndio ikabidi nimfuate Youtube kujikumbusha ni nani, mara ya mwisho mimi kuskliza wimbo wake alikua mtoto bado, ule wimbo wa 'naenda kusema kwa mama'
 
wewe ndio umeandika kwa hisia kali sana....punguza hasira
 
Hadi sasa watu wanajibu hisia zako lakini sio taarifa kama ilivyo, jifunze kuambatanisha mada zako na chanzo ili kila mtu atumie akili zake.
Wabongo wengi walivyo wazembe, wataishia kujibu hisia zako tu bila kutafuta ukweli.
 
kama shida yako ni chanzo basi hiki hapa.
 
i don't know anything about this 'Ashley' guy/girl so siwezi sema lolote kumuhusu
 
Back
Top Bottom