Mwanamziki Diamond video tatu ndani ya mwezi mmoja za nini zote hizo.?

Mwanamziki Diamond video tatu ndani ya mwezi mmoja za nini zote hizo.?

dataone

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
44
Reaction score
77
Kwanza kabisa nakupongeza sana kaka kwa kazi nzuri sana, pia mimi nishabiki wako kwa kiwango cha lami.

Sasa najiuliza kwanini umeachia video tatu kwa wakati mmoja( Fire, I miss you na Eneka) zote hizo za nini bado hujiamini? Kumbuka wewe ni msanii mkubwa sana hapa Tanzania na Africa unakimbia unaenda wapi na hizo video yaani wakati mimi natafakari single yako ya fire jinsi ilivyo nzuri mara naona single ya I miss you sijakaa sawa naona Eneka.

Mwisho kabisa naomba uachane na mtindo huu unatuchanganya mashabiki wako kaka toa single moja tupe mda wa kuenjoy na single moja kwa mda mrefu kama ulivyofanya kwa single ya Merry you.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
kwani kuna ubaya gan? acha atoe ngoma na zngne zinakuja

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Atoe hata 10 tu, kuimba aimbe Diamond alafu uchungu ukushike wewe!!! Hapo malizia na wimbo wa majanga wa Snura

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
4792b3409bf51c65da63159deeb1cf09.jpg


Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom