Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Tafuta mfano mwingine.Wizkid tangu january ngoma kila mwezi na anazidi kuchanja mbuga!
Ila kwa diamond ngoma tatu tu kwa wabongo imekuwa nongwa.....
Na bado tarehe 1/9 nyingine na patoranking inakuja
Wewe haupo vizuri juu ya shingo. Maana ya kuishiwa ni kukosa uwezo wa kuzalisha kitu husika. Video tatu kisha unasema Kaishiwa?Ukiona hivyo ujue kijana Diamond ameshaanza kuishiwa!!........
Acha ujinga diamond hawez kushindana alikiba.. anashindana na wababe wenzie wa kina wizkid na davido.. alikiba anashidana na hermonizeKale kajamaa ka kariakoo kanamfanya awe mwehu aisee kenyewe kamekomaa tu na AJE, sasa kakitoa ngoma ingine anaweza kutoa nyimbo kumi kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Big head thinner brain.Kwanza kabisa nakupongeza sana kaka kwa kazi nzuri sana, pia mimi nishabiki wako kwa kiwango cha lami.
Sasa najiuliza kwanini umeachia video tatu kwa wakati mmoja( Fire, I miss you na Eneka) zote hizo za nini bado hujiamini? Kumbuka wewe ni msanii mkubwa sana hapa Tanzania na Africa unakimbia unaenda wapi na hizo video yaani wakati mimi natafakari single yako ya fire jinsi ilivyo nzuri mara naona single ya I miss you sijakaa sawa naona Eneka.
Mwisho kabisa naomba uachane na mtindo huu unatuchanganya mashabiki wako kaka toa single moja tupe mda wa kuenjoy na single moja kwa mda mrefu kama ulivyofanya kwa single ya Merry you.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app