Mwanamziki gani wa kike anakuvutia hapa?

Mwanamziki gani wa kike anakuvutia hapa?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Labda ni msanii gani wake kwa bongo fleva anakuvutia katika vipengele vifuatavyo tabia nzuri,mavazi ya heshima,kuongea vizuri na watu, hana skendo, anajua kucheza jukwaani.

Tujuzane hapa wakuu
 
Wengine watu wa pwani, ungeweka na category ya taarab,kwa upande huo hadija Yusuph napenda sauti yake
 
hapa wapi?????????? wako wapi.????????tuoneshe kwanza.
 
R.I.P Bi Kidude, Hajatokea Zaidi Yake.
 
Kwa taarab hakunaga km huyu mwanamama anaitwa swabah salum Muchachu
 
labda ni msanii gani wake kwa bongo fleva anakuvutia katika vipengele vifuatavyo TABIA NZURI,MAVAZI YA HESHIMA,KUONGEA VIZURI NA WATU, HANA SKENDO, ANAJUA KUCHEZA JUKWAANI. tujuzane hapa wakuu

Shishi bebi, Shilole...!
 
Hamna mwenye vigezo ivyo vyote hapa izo skendo ndo wanazozitafuta kila cku ili waonekane bado wapo.
 
Back
Top Bottom