lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
wengine watu wa pwani, ungeweka na category ya taarab,kwa upande huo hadija yusuph napenda sauti yake
labda ni msanii gani wake kwa bongo fleva anakuvutia katika vipengele vifuatavyo TABIA NZURI,MAVAZI YA HESHIMA,KUONGEA VIZURI NA WATU, HANA SKENDO, ANAJUA KUCHEZA JUKWAANI. tujuzane hapa wakuu