Mwananchi aliyesafri kwenda Dodoma kwa mgonjwa akitokea Singida atapeliwa na wasajili laini wa Mitandao ya simu

Mwananchi aliyesafri kwenda Dodoma kwa mgonjwa akitokea Singida atapeliwa na wasajili laini wa Mitandao ya simu

Japo huyu mwanamama ni mzembe.

Hivi hamna namna yoyote vyombo vya dola vinaweza walau kuzuia hiyo michezo..
 
Safi sana.
Huyu dada inaonyesha kapita shule lakini haijamkomboa.
Unatapeliwa kijinga kabisa baadaye unajifanya kuzimia
Mnaisingizia shule bure tu, umakini wa mali zako sio lazima uwe na degree.

Una pesa kwenye simu, unatumia sim banking kuvuta pesa benki bado unamuachia mtu acheze na siku yako kwa zaidi ya dakika 30.. apekenyue atakavyo.
 
 
Kwa Polisi hawana msaada kwa taifa letu.
1. Nilienda kuomba hati ya tabia njema (forensic clearance certificate) nikaombwa rushwa

2. Mwaka 2018 Niliibiwa nyumbani na mwizi nishamtambua na alikokimbilia nikaomba msaada polisi nikaombwa rushwa

Matukio ni mengi
 
Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu.

Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
Umeona majibu ya cyber yalivyo? Sijui wao kazi yao ni nini hasa.
 
Unaacha maelezo cyber wanamtafuta mtuhumiwa wakimpata wanavuta mkwanja na kule kwa wakili wanavuta ganji halafu wewe unafuatilia mpaka unachoka
Mwishowe unasema namuachia Mungu
Nimeandika hivyo nikiwa na hakika kabisa(wanafanya hivyo kwa walioibiwa simu za mkononi) cyber wakiikamata simu wanavuta mpunga kwa mtuhumiwa simu wanachukua halafu wanauza
Kwa kweli tuna safari ndefu mno
 
Back
Top Bottom