Mwananchi communications kupitia gazeti la The Citizens wanavyoshindwa kusimamia maslahi ya nchi (national interests)

Spika mbinya demokrasia aliyeshiriki kwa nafasi yake ya mhimili wa Bunge na chama dola kongwe kuvuruga uchaguzi wa 2020 na pia kuwashughulikia wapinzani bungeni na nje ya Bunge, ni doa kubwa kwa nchi.

Hili doa haliwezi kusafishika kwa njia yoyote ile limo katika historia ya jinsi taifa la Tanzania lilivyovurugwa kwa miaka sita chini ya uongozi wa CCM awamu ya tano na sita ikiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwendazake Dr. John Pombe Magufuli .
 
Acheni tabia za uzalendo uchwara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…