Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? Tusisubiri ya Kenya

Mtu na akili zako timamu, huwezi kufikiria kuwa Rais aliye madarakani na ambaye bado katiba inamruhusu na yeye anapenda kugombea awamu ijayo akubali mchakato wa katiba mpya itakayomuondolea baadhi ya madaraka, itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani, itakayoruhusu kumshitaki kwa makosa aliyoyafanya akiwa Rais, asitumie Airbus kwenda Morogoro akitoka Dar etc. Utakuwa ni mwendawazimu tu
 
Anaogopa maovu yake.
 
Hakuna mwananchi anakubali uchafuzi wa serikali ya ccm hao akina Chongolo ni matumbo yao tu.
 
Kwa hiyo na wewe unaamini Katiba mpya itamwondoa ccm madarakani?
 
Tusiotaka katiba mpya ni sisi ccm, hivi nyie chadema mnatuona sie wajinga tuanzishe kitu ambacho kitaweka rehani ulaji wetu?
 
Halafu wanataka mfumo wa serikali za majimbo ili mbowe awe gavana was kaskazini.
 
a new day has come
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…