Huyu mzee ni nani? Kama vijana wanashindwa kujiajiri inamaanisha tuna mfumo mbovu wa elimu usio watayarisha vijana vizuri kujiajiri.Mzee huyu ameonyesha huruma kwa vijana wanaopanga wakingoja tarehe 29 kwa hamu, akiwashauri kujiandaa kutafuta njia mbadala endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda uchaguzi.
Akizungumza katikati ya vuguvugu la maandalizi ya maandamano, mzee huyu anawaasa vijana wanaopanga kuandamana kuhakikisha wanajipanga mapema kwa maisha mapya, akisisitiza kuwa endapo CCM itabaki madarakani, maisha yao huenda yakawa magumu zaidi.