Mwananchi Kenya ashambulia kituo cha Polisi kwa mawe akiwa amelewa

Mwananchi Kenya ashambulia kituo cha Polisi kwa mawe akiwa amelewa

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Polisi wa Solai Kenya wanamshikilia Dennis Kibet kwa kuwashambulia kituo cha Polisi na Askari Polisi kwa mawe akiwa amelewa.
.
Ambapo baada ya kuhojiwa amesema alitaka kuona akirusha mawe kituo cha Polisi kutatokea kitu gani.
.
Kibet atafikishwa Mahakamani karibuni.
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha!!! Nimecheka sana, bana yaani tu basi....
Kuna watu wakiboeka huamua kuliamsha.
Labda alikula vitu vyake akisikiza ule wimbo wa Sauti Sol. "...hapana rusha mawe kwa police station, kabla uwashe kivela cheki situation....". 😀 Why you looking for trouble trouble trouble.

Alafu jamaa hakutoroka, hata baada ya kurusha mawe. Eti na baada ya polisi kumkamata na kumpiga 'pekshen', walimpata na misokoto kumi ya bangi. Kibet buana! 😆 Intoxicated man throws a stone into a police station, dislocates officer's shoulder
 
Wapo wengi tu wenye haya mambo

fb_img_16540853794526500-jpg.2247667
 
Back
Top Bottom