Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Kwani kazi hafanyi? Teuzi unafanya wewe ? Kusimamia serikali unafanya wewe?
Raisi ni ofisii sio jengo au chumba yeye mwenyewe Kama yeye Ni ofisi
Nalijua hilo ndiyo maana nimesema kumbe nchi inaweza kwenda bila JIWE. Hao wanaoendelea kufanya kazi wanatutosha kabisa. Hivi asipokuwepo nini kitashindikana?
 
Tanzania ndiyo Nchi ndiyo Taifa lenye watu wengi wanaotumia mda mwingi kukaa vijiweni vibarazani kupiga story za siasa bila kufanya kazi na hapo vijiweni ndipo kuna maambukizi makubwa zaidi na hata Naibu Rais Daud Bashite kabariki vijiwe akishirikiana na wenyeviti wa Serikali za mitaa ambao wote ni wa CCM lengo lao ni watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu wapige ile pesa iliyotengwa kwa ajili ya kuendesha uchaguzi mkuu.
 
Taarifa hizi mbona zinatisha. Je zinaukweli ndani yake au ndoo zilivyoletwa. Kama ni za kweli basi dunia iingilie kati an kama si za kweli basi hatutendewi haki wasomaji.
 
Wewe naona huelewi hata hoja inayoongelewa! Jambo muhimu hapa linaloongelewa, 'Je, Serikali inadanganya na kuficha idadi ya wagonjwa na vifo vinavyotokana na Covid 19? Kama ndivyo, inafanya hivyo kwa lengo gani?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km watu wangekuwa wanakufa kwa corona tungeona hali ni mbaya mtaani

Ila mtaani kwetu hakuna taarifa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Wewe kila mara huwa nakuambia una AKILI NDOGO SANA neno ndogo ulitamke mara nyingi.
Badala ya kukaa na kumshambulia mbowe kila mara hata ukienda maliwato nakushauri uwe muumini wa ukweli.
Watu \maiti za corona zilikuwa zinaenda kuzikwa KONDO sijui kama unapafahamu! Mloganzila nk.
Hazikuwa zinabebwa kwa magari ya siri ni gari imeandikwa huduma za mazidhi na msafara. Sasa unaposema mtaani kwako hali sio mbaya unataka sie tujue nini takataka wewe.
Watu 256 huku serikali ikitangaza 16 bado unasema hali sio mbaya? Kenge nn
Wakati mwingine muwe mnakaa kimya kuficha ujinga wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalijua hilo ndiyo maana nimesema kumbe nchi inaweza kwenda bila JIWE. Hao wanaoendelea kufanya kazi wanatutosha kabisa. Hivi asipokuwepo nini kitashindikana?
Amekimbilia chato akamwagiza Naibu Rais aruhusu watu wakae vijiweni hapo jijini Dsm waambukizane kwa wingi waje kufa kwa wingi ndiyo maana haijawahi kumsikia Daud Bashite akivikimea vijiwe hata siku moja anajua huko ndipo wataambukizana wazee wengi wapotee ili CCM wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Taarifa hizi mbona zinatisha. Je zinaukweli ndani yake au ndoo zilivyoletwa. Kama ni za kweli basi dunia iingilie kati an kama si za kweli basi hatutendewi haki wasomaji.
WHO hawataki kuipa Tanzania pesa kama Nchi zingine ambazo tayari wamepewa kwa sababu wanajua hujuma za Serikali ya CCM si ya kawaida ina nia ovu na haiaminiki Duniani kote
 
Naibu Rais badala ya kupambana na Corona anapambana na Chadema. Akili za mtoto kama za baba yake. Nilimwelewa sana Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwamba tabia ya mkubwa wao ina-trickle down na kuambukiza hata wale wa chini yake.
 
Fanya kazi acha porojo, huyo mwenye baba apambane na hali ya sasa, hata akitangazwa hatorudi, la muhimu asisahau barakoa na kunawia maji yanayotirika.
Watu wengi hawavai barakoa hawanawi mikono wanajazana misikitini makanisani misibani hawaogopi tena kwani hata Naibu Rais Daud Bashite kuruhusu wakazi wa huko Dsm wakae vijiweni vibarazani waambukizane kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Nchi hii ina viongozi wanafiki haijapata tokea.... Either ni kweli au ni Uwongo kwani ni wakae kimya bila kutoa taarifa za kila cku kama mwongozo wa WHO unavyo taka. Ila muda utasema hata wakificha kifo cyo siri...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawataki kutoa taarifa kwa sababu wana hofu ya kuonekana walizembea kuzuia Ndege toka china Italy America kuingia Tanzania, zile Ndege walizochelewa kuzuia ndizo zilileta wagonjwa na maambukizi mengi zaidi, wameamua kuficha taarifa wakizani watanzania ni wale wa zamani wa ndiyo mzee kumbe wameamka wanajua kila kitu sasa, wanajua uonevu uongo propaganda zote za Serikali ya CCM
 
Barakoa kazi yake ya kwanza ni
1. Kuzuia usiambulize wengine.

Kazinya pili ndio kukukinga


Kwa namna hiyo barakoa ilitakiwa kuwa ji lazima ili watu qasiambuiize wengine.

Wengi tunavaa kijikinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…