Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Magufuli has also ordered the suspension of allowances for politicians who refuse to attend parliament after opposition legislators stopped attending sessions following the deaths of three MPs in a span of 11 days, with many suspecting COVID-19 as the cause.
Ugonjwa wa corona umefichua udhaifu wa Serikali ya CCM kwenye kukabiliana na majanga ya kiduniaaiseee! kinachonishangaza ni kwamba kwani huu ugonjwa umegundulika tanzania? sioni faida za kutosema wagonjwa na waliofariki kwa co-19 kufanya ni siri sana!! ni aibu sana kwa taifa letu tena sana
.... huu ugonjwa ndiyo umetufunulia juu ya rais tuliyenaye.... ni wa ajabu sana tena ni wa ajabu mno!! sadcc hajaudhuria
..EAC nako hajaudhuria..... watz tuna bonge la kituko..
Hofu ndiyo njia bora ya kuwakinga watu, hapa America watu weusi walikuja na kauli kama hizo wakajifanya wajuaji wamekufa kwa wingi kama mbu waliopuliziwa dawa, bila watu kuwa na hofu ni vigumu Corona imalizike hapo nyumbani TanzaniaIla jamn tutangaze tu idadi ya wagonjwa wapya na waluokufa km wapo na naamini wapo coz watu washachukulia poa sn mtaan people they don't care n vurugu mechi unaweza hisi hili jambo halipo ndani ya nchi yetu. Raisi anasema tusiwatie hofu watu yupo sahh lkn nachojua mm watu ambao hawajapa maambukizi haya lazma watiwe hofu ila wanaopata maambukizi haya ndio wapewe matumaini ili wasiwe na hofu. Hata ukimwi kila siku tunapeana hofu sn ukipata HIV ni hatari ila mtu akishaupata kiswahili kinabadilika kuwa na HIV sio mwisho wa maisha.. na mbwembwe nyingi tu. Plz wenye mamlaka waambieni watanzania ukweli itawaweka huru
Hakuna mtumishi wa Afya mwenye tongotongo kichwani kama wewe.Mimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?
Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
Kwani watumishi wa Afya wote wanaishi nyumbani kwako ?Hakuna mtumishi wa Afya mwenye tongotongo kichwani kama wewe.
Swali lako ni linaakisi uwezo wako wa kifikiria, yaani ukiwa na akili timamu unawezaje kuuliza swali la kijinga namna hiyo?!.... Ila kwa ethics za taaluma ya Afya hakuna mjinga anayeweza kujiita mtaalamu wa afya akaja na huo upuuzi.Kwani watumishi wa Afya wote wanaishi nyumbani kwako ?
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha unawezaje kujua swali la kijinga? hujielewi wewe ndiyo mpuuzi namba one peleka ujinga wako kwa wavuta Bangi wenzako huko gheto, nani kakuambia una Akili timamu? Akili timamu ni kuficha taarifa? Akili timamu ni kushabikia usiri watu wanaendelea kufa, kama hicho ndiyo kiwango chako cha kufikiri usijidanganye kwa bangi zako.Kwa
Swali lako ni linaakisi uwezo wako wa kifikiria, yaani ukiwa na akili timamu unawezaje kuuliza swali la kijinga namna hiyo?!.... Ila kwa ethics za taaluma ya Afya hakuna mjinga anayeweza kujiita mtaalamu wa afya akaja na huo upuuzi.
Hata Dump Truck..... hawaamini WHO, mi pia siwaamini hata kidogo... Wame missready sana taarifa za corona... Ukianza kuangalia taarifa zao za awali walidai covid 19 haiambukizi kwa njia ya hewa wala kugusana isipokuwa kwa kula chakula chenye virus waliathiri wengi Sana. Leo hii wanajitia vinara wa maelekezo.... USA mpaka wamestop fund kwa unafiki wao.Corona hata ikimalizika Duniani kote lazima itasalia Tanzania kwa miaka kadhaa kutokana na hamasa ya kuvaa barakoa kunawa mikono kuwa chini sana, bado watu wanazurula hovyo hovyo kukaa vijiweni vibarazani kwenye bar misongamano misikitini makanisani misibani vinaendelea kwa wingi kwa baraka ya viongozi wa CCM, hii ndiyo imewapelekea WHO kuchukizwa na Tabia mbaya ya Serikali ya Tanzania na kuwanyima pesa za kupambana na covid 19, kinachowakera zaidi WHO ni Hofu kuwa pindi Ugonjwa wa covid 19 utakapokuwa umemalizika Duniani huenda masalia yakawa yapo Tanzania na ikaendelea kuambukiza Nchi Jirani.WHO hawana imani na Serikali ya CCM
Speculations and assuming at work.Tanzania inahofiwa kuwa inaenda kuwa kitovu au makao makuu ya corona Duniani na kwa kuwa hakuna uhuru wa kupata taarifa wanahofia juhudi za kutokomeza corona zitakuwa ngumu na kupelekea corona kuwa Ugonjwa wa kudumu Tanzania
Endelea kuvuta Bangi ukijidanganya una uwezo wa kufikiri kumbe Bangi zimekukolea mpaka umekosa huruma kwa watanzania wenzakoKwa
Swali lako ni linaakisi uwezo wako wa kifikiria, yaani ukiwa na akili timamu unawezaje kuuliza swali la kijinga namna hiyo?!.... Ila kwa ethics za taaluma ya Afya hakuna mjinga anayeweza kujiita mtaalamu wa afya akaja na huo upuuzi.
Wewe ni mvuta Bangi hujielewiSpeculations and assuming at work.
Kama wewe umenielewa inatosha sio lazima nijieleweWewe ni mvuta Bangi hujielewi
Asante Aljazeera... Vifo Ni zaidi ya 256 vya Corona hapa Tz...
Nasubiri Ummy akanushe hii habari
Hamasa ya kujikinga ilikuwa kubwa awali mpaka baadhi ya misikiti makanisa yalifungwa cha ajabu mtukufu akaja na kauli kuwa corona ni kagonjwa kadogo sana na kupelekea misikiti kufunguliwa watu kujazana vijiweni vibarazani mikusanyiko bila barakoa wakiamini corona ni kaugonjwa kadogo tu, kumbe hawajui kuwa CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuBadala ya kila mtu na familia kuchukua tahadhari za kujilinda dhidi ya maambukizi watu wanashupalia kutangazwa takwimu!!! ili kuleta taharuki ama?
Dawa ya kukabiliana na mlipuko wa maradhi hayo ni kuzingatia ushauri wa madaktari na miongozo ya viongozi wenye dhamana full stop. Ndio maana wahenga walionya kuwa miruzi mingi humchanganya...... Tuache propaganda za kisiasa na za kibeberu. Jilinde wewe na familia yako kwani ukifariki atakayehuzunika zaidi ni familia yako na si Dunia, Afrika, ama mkoa wako.
Hapo ndio mwisho wako wa kifikiria njinga wahedi.Hamasa ya kujikinga ilikuwa kubwa awali mpaka baadhi ya misikiti makanisa yalifungwa cha ajabu mtukufu akaja na kauli kuwa corona ni kagonjwa kadogo sana na kupelekea misikiti kufunguliwa watu kujazana vijiweni vibarazani mikusanyiko bila barakoa wakiamini corona ni kaugonjwa kadogo tu, kumbe hawajui kuwa CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Kama upo karibu na Naibu Rais Daud Bashite mwambie kuwa chanzo Kikuu cha maambukizi ni mikusanyiko misongamano vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani hapo jijini Dsm, mkitaka takwimu za vifo ziwe chini zuieni maambukizi hayo kwanza.Hata Dump Truck..... hawaamini WHO, mi pia siwaamini hata kidogo... Wame missready sana taarifa za corona... Ukianza kuangalia taarifa zao za awali walidai covid 19 haiambukizi kwa njia ya hewa wala kugusana isipokuwa kwa kula chakula chenye virus waliathiri wengi Sana. Leo hii wanajitia vinara wa maelekezo.... USA mpaka wamestop fund kwa unafiki wao.